 |
Cheka akimchakaza Phil |
 |
Phil akidhibitiwa vilivyo |
Mashabiki wengi wa mchezo wa ngumi mitaani leo wamesikika wakilifananisha pambano la WBF kati ya Mtanzania Francis Cheka na Mmarekani Phil Williams
na pambano la kihistoria, “The Rumble in the Jungle” lililofanyika
nchini Zaire (siku hizi DRC) mwaka 1974 kati ya Muhammad Ali, Mmarekani mweusi vs George Foreman Mmarekani ambapo Ali
alimshinda George katika raundi ya 8. Lilikuwa ni tukio kuu zaidi la kimchezo karne ya 20.
 |
Ali akimchakaza Foreman. |
 |
Foreman akiwa nyanga nyanga. |
0 Response to "PAMBANO LA CHEKA NA PHIL WILLIAMS KAMA, “THE RUMBLE IN THE JUNGLE” LA MUHAMMAD ALI."
Post a Comment