MWANAMKE AOLEWA NA WANAUME WAWILI HUKO KENYA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MWANAMKE AOLEWA NA WANAUME WAWILI HUKO KENYA

Wanaume wawili nchini Kenya wameibuka na mbinu isiyokuwa ya kawaida ya kupata suluhu ya kupigania mwanamke kimapenzi baada ya kusaini mkataba wa kuishi na mwnamke mmoja ambaye wote walijikuta wanampenda . Mkataba huo utawafanya waishi naye kwa zamu. Hata hivyo sheria za nchi ya Kenya haziruhusu mwanamke kuishi na wanaume wawili.

Picha ya tukio kama hilo hapa nchini huko mkoani Katavi. (picha na  pamojapureblogu)

Tukio linalofanana na hili limewahi kutokea hivi karibuni hapa nchini katika mkoa wa Katavi pale mwanamke mmoja naye alipodaiwa kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Habari zaidi juu ya hilo la hapa nchini ingia  katika blogu ya  pamoja pure. Blogspot.com ambapo ndiko pichainayoonekanaa hapo juu ilikochukuliwa.

0 Response to "MWANAMKE AOLEWA NA WANAUME WAWILI HUKO KENYA"

Post a Comment