PATA VITABU VYA UJASIRIAMALI PDF NA VYA KARATASI HARDCOPY KWA BEI NZURI KABISA. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

PATA VITABU VYA UJASIRIAMALI PDF NA VYA KARATASI HARDCOPY KWA BEI NZURI KABISA.

Bei za Vitabu 3 vya biashara na ujasiriamali


Vitabu vya Self Help Books Tanzania, sasa ukiwa sehemu yeyote ile unaweza ukavipata vikiwa katika mifumo yote, iwe unataka kitabu cha kawaida cha karatasi au PDF softcopy.

Chakufanya:
Kama upo Dar es salaam ukitaka kitabu chochote kile cha karatasi, wasiliana na sisi kwa namba 0712 202244  au 0765 553030 utaletewa kitabu mpaka pale ulipo au unaweza kufika ilipo ofisi yetu Mbezi stendi kwa Msuguri karibu na stendi ya malori ya endayo Mikoani.

Unapoletewa kitabu/vitabu mpaka mahali ulipo gharama ya nauli huongezeka.

Kama upo Mikoani, mkoa wowote ule ukitaka kitabu cha karatasi wasiliana nasi na baada ya kutuma pesa pamoja na gharama za kusafirisha kitabu sh. 10,000/= tunakutumia kitabu/vitabu kupitia njia ya basi linalofika eneo ulipo. 

Ukihitaji kitabu/vitabu katika mfumo wa PDF(softcopy) ambapo unaweza kusoma kikiwa katika simu, compyuta au tablet, bei zake hupungua na ili kuvipata unalipia kupitia namba 0712 202244  au  0765 553030 pamoja na kutuma anuani yako ya barua-pepe, E-mail kwa njia ya meseji kisha na sisi tunakutumia kitabu/vitabu vyako ndani ya dakika chache popote pale ulipo.

Hapa chini unaweza ukapakua (ukadownload) vitabu hivyo vitatu lakini vikiwa na kurasa chache tu za mwanzo na za mwisho, siyo vitabu vizima. Kwa maelezo ya kila kitabu kwa kina unaweza ukayapata kwa kutembelea, SMARTBOOKSTZ, blogu maalumu kwa ajili ya vitabu.


Download hapa chini kurasa 3 za mwanzo, mmoja wa mwisho na jalada kwa kila kitabu.



1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI 
Michanganuo ya biashara na ujasiriamali 




2. MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA
Mifereji 7 ya pesa na siri matajiri wasiyopenda kuitoa 





3. SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA, DUKA LA REJAREJA 
Siri ya mafanikio ya biashara ya rejareja

.........................................................................................................................................................
Kwa makala mpya za kuelimisha zilizowekwa muda mchache uliopita, tafadhali rudi HOME page na  ufungue makala zinazofuata chini baada ya makala hii.

Kujiunga na MASTERMIND GROUP la masomo ya kila siku na semina za kuandika Michanganuo bunifu yenye fursa za kutengeneza faida haraka lipia ada ya mwaka Sh. 10,000/= tu kisha tuma ujumbe ukisema "NATAKA KUJIUNGA NA GROUP NA OFFA MPYA YA VITU 14. 

Kupata kitabu cha Duka la Rejareja toleo jipya la mwaka 2024 bofya hayo maandishi.

Kwa vitabu zaidi kutoka self help books Tanzania tembelea SMART BOOKS TZ

Kupata bila malipo kitabu maarufu cha "KANUNI NA SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO KWA UFANISI" na vitabu vingine vingi vya bure bonyeza maandishi hayo makubwa kisha ujaze taarifa zako katika fomu utakayopewa.

1 Response to "PATA VITABU VYA UJASIRIAMALI PDF NA VYA KARATASI HARDCOPY KWA BEI NZURI KABISA."