Mawasiliano

Mawasiliano


SELF HELP BOOKS PUBLISHERS LTD 

Namba za simu,
0712 202244
0765 553030
Whatsapp: 0765553030
E-mail:  jifunzeujasiriamali@gmail.com

Ofisi:

Tupo Mbezi  ya Kimara 

VITABU VYETU VYOTE VYA KARATASI(HARDCOPY) VINAPATIKANA
 BRIGHT STATIONARY ILIYOPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA, KITUO KIMOJA KUTOKA ST. AUGUSTINO SECONDARY(TAGASTE)

11 Responses to "Mawasiliano"

 1. Mnafanya kazi nzuri sana, tunaomba muwe na vituo vingi tu, ili iwe rahisi kwa wateja wenu kukutana na kupeana elimu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante sana Igoho Investment tunajitajidi kutanua zaidi wigo wetu

   Delete
 2. Natamani kuanzisha kiwanda lakini mpaka sasa sijajua ni kiwanda gani kitakachoniwezesha kuzalisha, kupata soko na hatimaye kupata faida. Nisaidieni walimu wetu. Aidha naomba uwe mtu wa kuniongoza, utabarikiwa zaidi, namba yangu ni +255 655 835 134. KARIBUNI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Unakaribishwa Igogo Investment, Ili uweze kuanzisha kiwanda unatakiwa ufanye kwanza Utafiti wa wazo unalotamani kuanzisha kisha ndipo utaweza kujua kama soko la bidhaa utakayozalisha lipo. Ukikuta hamna soko la uhakika unaweza kuachana nalo ukatafuta wazo la kiwanda kingine.

   Delete
 3. Email ni: iginvest125@gmail.com tuwasiliane.

  ReplyDelete
 4. Nataka kuanzisha biashara ya kununua mazao kama mahindi, maharage nk kuleta dar je nitapata soko la uhakika?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Inawezekana kabisa mpendwa na tenani biashara inayolipa lakini kitu kikubwa kwanza ni ufanye utafiti wa kutosha jinsi utakavyoendesha hiyo biashara hasa miundombinu pamoja na stoo utakayoweka mzigo wako kabla ya kuuza kwani wakati mwingi ili upate faida huhitaji presha za madalali, unatakiwa kuuza mzigo wako kwa nafasi pasipo hofu.

   Delete
 5. Mashine za juice naweza kupata kwenu? Bei gani?

  ReplyDelete
 6. Ingawa sisi hatushughuliki moja kwa mojana uuzaji wa mashine za juisi bali tunaandika makala za ujasiriamali, lakini mashine zinapatikana katika maduka mbalimbali jijini Dar na katikabaadhi ya Mikoa. Jitahidi kufanya utafiti zaidi uweze kujua ni maduka yapi ili uwaulize.

  ReplyDelete