JIUNGE NA BLOGU HII

JIUNGE NA BLOGU HII

JIUNGEE NA BLOGU HII YA JIFUNZEUJASIRIAMALI KUPATA VITABU BILA MALIPO.

Baada ya kujaza taarifa zako, majina, E-mail na namba ya simu, kisha kubonyeza maandishi “subscribe” tutakutumia email kukujulisha ukubali, bonyeza maandishi  hayo  na kufuata maeelekezo yote yanayofuata hatimae utaona kitabu tulichokuandalia ‘free’ pamoja na zawadi nyingine ya vitabu vya pesa na mafanikio vipatavyo 25 katika lugha ya kiingereza.

Utakuwa pia tukikutumia mara kwa mara makala maalumu pamoja na chochote kile muhimu kitakachokuwa kikijiri mapema kabla hata ya wasomaji wengine wa kawaida wa blogu kujulishwa. Unapojiunga na blogu maana yake wewe ni mtu muhimu na unayestahili kupewa kipaumbele cha kwanza kabisa.

Jiunge na blogu ya jifunzeujasiriamali kupata vitabu free of charge

* indicates required

42 Responses to "JIUNGE NA BLOGU HII"

 1. Replies
  1. Asante na wewe pia mr. Hakim Shakur kwa kutembelea hapa.

   Delete
 2. nashukuru sana wapendwa wa bwana, MWENYEZI MUNGU AWAZIDISHIE ZAIDI KWA KUJITOA KWENU.

  ReplyDelete
 3. Najaribu kudowload nashindwa sijui kwann

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kama tayari mafaili ya vitabu umeyaona lakini hayafunguki yawezekana labda chombo unachotumia simu au pc yako haina PDF reader, download kutoka play store au google na uinstall vitafunguka.

   Delete
 4. Najaribu kudowload nashindwa sijui kwann

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tayari nimekujibu ikiwa tatizo litaendelea basi tuwasiliane.

   Delete
  2. Mim ni mgeni katika blog hii laki kubwa zaidi naomb mafunzo yenu ya ujasiriamali , Asante

   Delete
 5. Mi nahitaji changamoto yaan in negative je vitu gan vinamfanya afel kwwnye biashara...na ni mazingira gan yana mruhusu mtu kufanya biashara kulingana na bidhaa..cz huwe ukauza laptop vijijini.hivyo elimisha watu kuhusu mazingira na biashara

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mambo yote hayo utayafanya wakati wa kutathmini biashara yako kabla ya kuianza au hata wakati umeshaianza. Kwa kifupi tathmini hiyo huitwa NUFUVI au SWOT Analysisi, maana yake ni NGUVU, UDHAIFU, FURSA na VIKWAZO(STRENGTH, WEAKNESSES OPORTUNITY and THREAT. Kila biashara kulingana na mazingira yake pamoja na yule anayetarajia kuifanya ina vitu ambavyo vinaipa nguvu na pia vile vinavyoifanya izorote(udhaifu). Vitu hivyo 2 mmiliki wa biashara anao uwezo wa kuvibadilisha ikiwa ataamua na mfano mmoja wapo ni eneo kama ulivyosema. Eneo likikuzingua unaweza kubadilisha ukahamia eneo zuri zaidi Pia kuna mazingira ya nje ya biashara hiyo ambayo mmiliki hana uwezo wa kuyabadilisha kwa urahisi yanayochochea biashara ikue au isinyae pia mfano mmoja wapo ni sera za serikali kwani zikiwa nzuri au mbaya huwezi ukazibadilisha isipokuwa tu unaweza kuweka mazingira yako yaendane nazo.

   Delete
 6. Nashukuru sana najifunza mengi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante sana kwa kutambua juhudi zetu, be blessed.

   Delete
 7. nashukuru nimepata somo zurisana kuhusu biashara

  ReplyDelete
 8. Ninashauku kubwa sana kuanza biashara ya duka la rejareja, ninaimani kupitia kwenu nitajufunza mengi

  ReplyDelete
 9. Shukrani sana kwa elimu hii,be blessed!🙏

  ReplyDelete
 10. FIKIRI NA UTAJILIKE nakipata kwa shngapi

  ReplyDelete
 11. TZS 20,000/= Hardcopy utaletewa mpaka ulipo na TZS 10,000/= kupitia application (APP) ya GETVALUE https://www.getvalue.co/home/product_details/think_&_grow_rich-swahili-_edition

  ReplyDelete