WAUZAJI NA WANUNUZI WA MAYAI SINGIDA NA DODOMA | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA MAYAI SINGIDA NA DODOMA

Wanunuzi & wauzaji wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa mayai mikoa ya Singida na Dodoma unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa Mayai

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa mayai mikoa ya Singida na Dodoma nikimaanisha unataka kununua mayai ukiwa mikoa ya Singida na Dodoma, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa mayai ya kisasa nay kienyeji jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya mayai mikoa ya singida na dodoma

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125



MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI WA WA MAYAI MIKOA YA SINGIDA NA DODOMA

KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA MAYAI SINGIDA NA DODOMA"

Post a Comment