WAUZAJI NA WANUNUZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR ES SALAAM | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR ES SALAAM

 

Wanunuzi & wauzaji wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa vifaa vya magari dar es salaam unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa vifaa vya magari jijini dar es salaam

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa vifaa vya magari dar es salaam nikimaanisha unataka kununua kifaa chochote kile cha gari ukiwa Dar, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa vifaa vya magari dar es salaam jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari dar es salaam

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125



MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI NA UNUNUZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR ES SALAAM

KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR ES SALAAM"

Post a Comment