WAUZAJI NA WANUNUZI WA SOLAR | Jifunzeujasiriamali

WAUZAJI NA WANUNUZI WA SOLAR

Wanunuzi & wauzaji wa bidhaa / huduma Tanzania
Kama wewe ni muuzaji wa solar unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa solar (sola).

Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee

Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa solar nikimaanisha unataka kununua solar, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa solar jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.

Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya solar

Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125



MATANGAZO:

Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI WA SOLAR (SOLA)

KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA SOLAR"

Post a Comment