Kama wewe ni muuzaji wa simu aina ya Tecno camon unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa simu za Tecno camon.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa Tecno camon nikimaanisha unataka kununua Tecno camon, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa Tecno camon jumla na rejareja bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya simu aina ya Tecno camon
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI WA SIMU AINA YA TECNO CAMON
KARIBUNI SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA SIMU ZA TECNO CAMON"
Post a Comment