Kama wewe ni muuzaji wa server (seva) za kisasa kwa ajili teknolojia ya mawasiliano unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa server.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa server, nikimaanisha unataka kununua server ya kisasa kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji wa server bora kabisa kwa bei ya jumla na rejareja bure bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini (scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya server (seva) za kisasa
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo; 0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA UUZAJI AU UNUNUZI WA SERVER (SEVA) ZA KISASA
KARIBUNI SANA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA SERVER ZA KISASA"
Post a Comment