HEBU SIKILIZA, NI KWANINI SEMINA HII NI YA KIPEKEE HAIJAWAHI KUTOKEA MAHALI PENGINE POPOTE | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HEBU SIKILIZA, NI KWANINI SEMINA HII NI YA KIPEKEE HAIJAWAHI KUTOKEA MAHALI PENGINE POPOTE

Ndugu msomaji na mfuatiliaji wa makala katika blogu yako hii ya jifunzeujasiriamali, ninayezungumza hapa ni mimi, Peter Augustino, Mhamasishaji mkuu na mwandishi katika blogu yako hii. Yafuatayo ni maelezo mafupi ya sauti kuhusu Semina yetu inayoendelea ya kujifunza jinsi ya kuandaa mpango wa biashara.  

 Masomo ya semina ya michanganuo kwa sauti mp3


Unaweza pia kupata vitabu vyako vizuri vya biashara na ujasiriamali katika lugha ya kiswahili, katika mifumo ya karatasi, hardcopy na PDF, softcopy, bonyeza maandishi hayo.

0 Response to "HEBU SIKILIZA, NI KWANINI SEMINA HII NI YA KIPEKEE HAIJAWAHI KUTOKEA MAHALI PENGINE POPOTE"

Post a Comment