MPANGO WA BIASHARA: MUUNDO WAKE NA MFANO WA JINSI UNAVYOPASWA UWE(BUSINESS PLAN TEMPLATE) SOMO LA 4 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MPANGO WA BIASHARA: MUUNDO WAKE NA MFANO WA JINSI UNAVYOPASWA UWE(BUSINESS PLAN TEMPLATE) SOMO LA 4


Mchanganuo wa biashara rasmi na uliokuwa kamili unatakiwa uwe na vipengele vyote muhimu ambavyo hupendekezwa na wadau mbalimbali wa mipango ya biashara. Vipengele hivyo siyo lazima viwe vile vile katika kila mpango wa biashara hapana, inategemeana na aina ya mchanganuo wenyewe  pamoja na madhumuni au kusudio la mchanganuo wa biashara unaouandaa.

Kuna wakati mtu anapotaka kuandika mchanganuo/mpango wa biashara yake atahitaji kitu kama ramani au tuseme kielezo(template) itakayo muongoza wakati wa kuandika mchanganuo wake kwa kufuata maelekezo ambayo tayari yameshawekwa huku akijaza tu maelezo yanayoendana na biashara yake. Njia hii ya kuandika mpango wa biashara ni rahisi kwani huhitaji kufikiria sana ni namna gani utapanga mfululizo wa vipengele vya mchanganuo wako.

Mfano, (kielelezo) wa mpango wa biashara "business plann template"
Mfano wa business plan template hizo upo katika blogu ya darasa la michanganuo ya biashara na ukiitaka unaweza ukaidownload kutoka katika blogu hiyo. Ili kuingia katika Darasa letu la michanganuo ya biashara TanzaniaOnline  School Of Business Planning ada yake ni shilingi elfu 10 tu, unaunganishwa kupitia e-mail yako pamoja na kupewa kitabu cha Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali(softcopy) bure .


Jiunge leo hujachelewa bado kwani masomo yaliyopita yanahifadhiwa katika blogu hiyo na unapata nafasi ya kuyasoma sawa sawa tu kama wale waliotangulia kujiunga na darasa. Kwa maelezo zaidi na namna ya kujiunga, unaweza kunitumia ujumbe pamoja na anuani yako ya barua-pepe/ e-mail kupitia namba za simu hizi; 0712 202244. Au  0765 553030. Uaweza pia kusoma jinsi ya kujiunga na shule ya michanganuo ya biashara.



Sehemu iliyopita.                                            Ifuatayo. 

0 Response to "MPANGO WA BIASHARA: MUUNDO WAKE NA MFANO WA JINSI UNAVYOPASWA UWE(BUSINESS PLAN TEMPLATE) SOMO LA 4"

Post a Comment