![]() |
Obama
na Kenyatta wakiteta jambo kabla hajaondoka.
|
![]() |
Barack
Obama na Uhuru Kenyataa Wakiwa kando ya Air Force One.
|
![]() |
Obama
kama vile anafanya mzaha alikimbia mchakamchaka kuelekea kwenye ndege.
|
![]() |
“Kaka
unaondoka lakini usitusahau” ndivyo inavyoonekana kama Kenyatta akimsihi Obama.
|
![]() |
| Mwishowe Rais Barack Obama anaaga rasmi ardhi ya Kenya kuelekea Addis Ababa Ethiopia. |





0 Response to "ANGALIA VIDEO NA PICHA JINSI OBAMA ALIVYOONDOKA KWA MBWEMBWE KENYA NA AIRFORCE ONE"
Post a Comment