MZUNGU KICHAA AIBUKA NA VIDEO MPYA YA WIMBO WA ALBUM YAKE 'OYA OYA' IANGALIE HAPA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MZUNGU KICHAA AIBUKA NA VIDEO MPYA YA WIMBO WA ALBUM YAKE 'OYA OYA' IANGALIE HAPA

Mwanamuziki Mzungu Kichaa akiwa jukwaani

Baada ya ziara katika nchi za Kenya, Zimbabwe, Denmark, Ujerumani, na Uingereza akifanya shoo za ukweli, hatimaye Mzungu Kichaa yule mwanamuziki mweupe machachari lakini anayeimba kiafrika  ameibuka na kutangaza albamu yake mpya ‘Relax’ itakayoanza kuuzwa rasmi  hapo tarehe 11 Januari 2014. Uzinduzi utafanyika wiki ijayo.



Source Michuzi blog

0 Response to "MZUNGU KICHAA AIBUKA NA VIDEO MPYA YA WIMBO WA ALBUM YAKE 'OYA OYA' IANGALIE HAPA "

Post a Comment