MATOKEO: WALIOFAULU NA WALIOFELI DARASA LA SABA MWAKA 2013 HAWA HAPA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MATOKEO: WALIOFAULU NA WALIOFELI DARASA LA SABA MWAKA 2013 HAWA HAPA

Mwaka huu wa 2013 kiwango cha wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) au Standard VII Kimepanda ukilinganisha na miaka mingine hususani mwaka wa jana 2012. Kwa masomo yote kiwango kimepanda kwa karibu asilimia 20. Kuangalia matokeo hayo shule za msingi za mikoani na jiji la Dar es salaam BOFYA MTANDAO WA NECTA HAPA umtazame mwanao, ndugu ama jamaa.


0 Response to "MATOKEO: WALIOFAULU NA WALIOFELI DARASA LA SABA MWAKA 2013 HAWA HAPA"

Post a Comment