ALICHOSEMA BOSI WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES BAADA YA KUIBAMIZA ARSENAL 1-0 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

ALICHOSEMA BOSI WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES BAADA YA KUIBAMIZA ARSENAL 1-0

Bosi wa timu ya Manchester United David Moyes baada ya kumalizika kwa mechi waliyoshinda bao 1 kwa 0 dhidi ya wapinzani wao timu ya Arsenal alitamka maneno haya,


 “Nimeridhishwa na umati wa watu ndani ya uwanja wa Old Trafford, Hizo leo zilikuwa ni shangwe za ajabu na natumaini ukweli wamefurahia matokeo mazuri.

Wachezaji wazuri huja wanapohitajika na mchezo waliocheza Robin van Persie and Wayne Rooney ulikuwa ni wa kiwango cha hali ya juu sana. Hii ni hatua nyingine katika ngazi. Utapita muda kidogo ndipo mambo yaweze kunyooka. Tunaboresha na kuendelea kuwa wazuri, na tunaamini tutazidi kufanya vyema, kufanya vizuri zaidi miezi na miaka inayokuja”.

0 Response to "ALICHOSEMA BOSI WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES BAADA YA KUIBAMIZA ARSENAL 1-0"

Post a Comment