WALIOKAMATWA TUKIO LA TINDIKALI ZANZIBAR WAHUSISHWA NA AL-SHAABAB | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WALIOKAMATWA TUKIO LA TINDIKALI ZANZIBAR WAHUSISHWA NA AL-SHAABAB

Visiwa vya Zanzibar
Polisi visiwani Zanzibar wamesema kuwa wamewatia mbaroni watu wapatao 15 kuhusiana na matukio ya mashambulizi ya tindikali na wamesema miongoni mwa watu hao wana mafungamano na mtandao wa kigaidi wa Al -shaabab.

Na BBC

0 Response to "WALIOKAMATWA TUKIO LA TINDIKALI ZANZIBAR WAHUSISHWA NA AL-SHAABAB"

Post a Comment