WALIOBAKA NA KUUA NAO KULA KITANZI HADI KUFA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WALIOBAKA NA KUUA NAO KULA KITANZI HADI KUFA


Wale jamaa huko nchini India waliomvamia msichana wa chuo cha uuguzi akiwa na mchumba ake, wakambaka na hatimaye kutokana na majeraha ya kipigo akaenda kufia hospitalini nao leo hii mahakama imewahukumu adhabu ya kunyongwa mpaka wafe. Lakini wanayo haki ya kukata rufaa kabla ya kuninginizwa.

0 Response to "WALIOBAKA NA KUUA NAO KULA KITANZI HADI KUFA"

Post a Comment