TANZANIA YAIPIKU KENYA KATIKA UWEKEZAJI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

TANZANIA YAIPIKU KENYA KATIKA UWEKEZAJI

KUTOKA MAGAZETI YA LEO,


Kwa mujibu wa gazet la Nipashe la leo Septemba 18, 2013, limeripoti kwamba Tanzania imefanya vizuri kuishinda Kenya katika suala la kuvutia mitaji na inaongoza katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Ripoti hiyo imetolewa kwa waandishi wa habari na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini Juliet Kairuki na imeandaliwa na Benki ya Rand Merchant RMB ambayo hutoa mwongozo wa ni mahali gani pazuri pa kuwekeza kwa makampuni mageni.

Tanzania imefanya vizuri kutokana na sababu kwamba mazingira ya uwekezaji yameboreshwa zaidi.  

0 Response to "TANZANIA YAIPIKU KENYA KATIKA UWEKEZAJI"

Post a Comment