SERIKALI KUENZI KAZI ZA GURUMO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SERIKALI KUENZI KAZI ZA GURUMO



Kutoka katika magazeti yetu leo Gazeti la HABARI LEO lina habari iliyopewa kichwa cha habari Serikali kuenzi kazi za Gurumo. Limeendelea kuandika kwamba Serikali kupitia Wizara yake ya Habari Vijana na Utamaduni na Michezo imempongeza mwimbaji Muhidin Gurumo kwa mchango wake uliotukuka katika tasnia ya muziki na kumpongeza kwa kustaafu kazi hiyo.

0 Response to "SERIKALI KUENZI KAZI ZA GURUMO"

Post a Comment