Malengo yetu kwa wajasiriamali wadogo ni kwasaidia ili waweze. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

Malengo yetu kwa wajasiriamali wadogo ni kwasaidia ili waweze.


  • Kufahamu na kuzitumia mbinu mbalimbali za ujasiriamali.
  • Kubuni, kuanzisha  na kuendeleza biashara  zao kitaalamu.
  • Kufaya utafiti kabla hawajaanzisha biashara zao.
  • Kuandaa michanganuo ya biashara zao.
  • Kufahamu namna bora ya kuhifadhi kumbukumbu na hesabu za biashara zao.
  • Kujifunza jinsi ya kutafuta masoko ya biashara zao.
  • Kufahamu njia mbalimbali za kupata mitaji.
  • Kujifunza namna ya kufanya mauzo kitaalamu.
  • Kujifunza namna ya kutumia muda kwa ufanisi.
  • Kufahamu siri mbalimbali za watu waliofanikiwa ambao kamwe hawapendi kuziweka hadharani kirahisi.

0 Response to "Malengo yetu kwa wajasiriamali wadogo ni kwasaidia ili waweze."

Post a Comment