TOFAUTI ILIYOPO KATI YA BUSINESS PLAN NA BUSINESS PROPOSAL | JIFUNZE UJASIRIAMALI

TOFAUTI ILIYOPO KATI YA BUSINESS PLAN NA BUSINESS PROPOSAL

Business plan(Mpango wa biashara) na Business Proposal(Maombi ya tenda) ni vitu viwili tofauti kabisa lakini ambavyo mtu unapovisoma au kuvisikia kwa haraka haraka unaweza kudhani labda ni kitu kimoja hichohicho. Vilevile business proposal unaweza pia kuchanganya na kitu kingine kiitwacho Project proposal(au andiko la mradi). Terms hizi usipokuwa makini nazo unaweza usijue ipi ni ipi na hapa leo tutakwenda kuangalia vitu viwili, business proposal na business plan.

Kwanza kabisa naamini kila mtu anaelewa juu ya business plan kwani katika masomo yetu mengi tumekuwa tukiizungumzia mada hiyo. Kwa upande wa Business Proposal hapa ndipo tutapazungumzia zaidi.

TOFAUTI ILIYOPO
Business plan au mpango wa biashara ni andiko linaloelezea kwa kina kuhusiana na biashara jinsi utakavyoendesha biashara yako pamoja na taarifa zote zinazohusiana na wewe mwenyewe kwa lengo la kuonyesha kwa wadau mbalimbali kama vile benki, wawekezaji, wabia, au wafanyakazi katika biashara yako.

Lakini Business Proposal....

.........................................................................
Ndugu msomaji wa blogu hii, hili ni somo tunalokwenda kujifunza leo hii katika group letu la msomo ya kila siku la MICHANGANUO-ONLINE kuanzia saa 3-4 usiku. Kiingilio ni shilingi elfu 10 tu na unapata vitu vingi bure kikiwemo kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI. Simu zetu ni 0712202244, WHATSAPP: 0765553030

Kwa makala nyingine kamili na zilizowekwa hivi karibuni nenda HOME PAGE na ushuke chini ya makala hii utazikuta.

Baadhi ya vitu mbalimbali, makala zilizopita, masomo, semina na vitabu unavyotumiwa mara baada ya kulipia ni hivi hapa chini;


1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Mfululizo wa Tafsiri ya kitabu mashuhuri zaidi cha pesa, FIKIRI UTAJIRIKE
6.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

7.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

8.  Masomo yote yaliyopita katika group kuhusu MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.

9.  Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

10.      Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

11.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.


0 Response to "TOFAUTI ILIYOPO KATI YA BUSINESS PLAN NA BUSINESS PROPOSAL"

Post a Comment