MUZIKI ULIPOKUWA MUZIKI, KATITU BOYS BAND NA MIZIKI MINGINE YA KIKAMBA NA KIKUYU UNAKUMBUKA NINI NA WAPI? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MUZIKI ULIPOKUWA MUZIKI, KATITU BOYS BAND NA MIZIKI MINGINE YA KIKAMBA NA KIKUYU UNAKUMBUKA NINI NA WAPI?


1 Response to "MUZIKI ULIPOKUWA MUZIKI, KATITU BOYS BAND NA MIZIKI MINGINE YA KIKAMBA NA KIKUYU UNAKUMBUKA NINI NA WAPI?"

  1. Vijana hawa jamani walitesa sana enzi hizo, nakumbuka zilivyokuwa zikipigwa Radio Sauti ya Kenya Nairobi kabla hata haijawa KBC, na santuri zilizokuwa wakati huo zikipigwa katika madisco mitaani siku za sikukuu kwenye Players hasa zile za PHILIPS na SANYO, Mjombaangu alikuwa nayo moja, kweli ilikuwa balaa tupu. Nilipenda sana kuona vile santuri ilivyokuwa ikizunguka na huku muziki mzuri kama huo ukilia.

    ReplyDelete