WIMBO MPYA WA JOSE CHAMELEON, TUBONGE NAUPENDA SANA: DOWNLOAD | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WIMBO MPYA WA JOSE CHAMELEON, TUBONGE NAUPENDA SANA: DOWNLOAD




Jose chameleon, kwa kweli nyimbo zake zinanikosha kupita maelezo, kila ngoma anayoitoa inakuwa na utamu wa aina yake, huyu jamaa ni mbunifu ajabu, angalia anaimba kwa kiswahili akijua kabisa atakamata soko upande wa Tanzania.Kama ni mjasiriamali basi anastahili kuitwa mjasiriamali wa muziki namba moja Afrika Mashariki.

0 Response to "WIMBO MPYA WA JOSE CHAMELEON, TUBONGE NAUPENDA SANA: DOWNLOAD"

Post a Comment