Baadhi ya maneno magumu na lahaja(idioms) zilizojitokeza
ndani ya kurasa 10 wakati wa usomaji wa kitabu cha Think and Grow Rich (Fikiri & Utajirike) awamu ya pili (Page 9 – 18 nakala ya kiingreza) na (Uk 17 – 37 nakala ya kiswahili) ni haya
yafuatayo hapo chini;
Ikiwa msomaji yeyote kwenye hili group ataona kuna maneno
mengine ama lahaja ambazo zinamtatiza basi anaweza kuzitoa hapa kundini yeyote
mwingine akatolea ufafanuzi;
Burning
desire - Shauku kali / hamu kubwa
Definitiveness
of purpose – Ukamilifu wa
lengo
Impulse
of thoughts – Msukumo
wa mawazo
Single
turn of the wheel – Hali
au mchakato mmoja unaoendelea
Very
nominal wage
- Mshahara kidogo sana
Definite
major purpose – Lengo
kubwa kamili/dhahiri
An
all consuming obsessions – Gubikwa
sana na mawazo/fikra juu ya jambo fulani
Bulldog
–
Jasiri, siyo tikisika ovyo
Mow
down – Fyekelea mbali
Definite
knowledge – Ujuzi kamilifu /
dhahiri
Stake
a claim – Tangaza / madai/
weka kwenye kumbukumbu
Lust
for gold – Hamu ya kupata
dhahabu
Big
killing in profit – Faida
kubwa isiyo na kifani
Junk
man
– Muuza vitu vikuukuu / vyuma
chakavu/makopo
Quitability – Uachaji
Stickability – Ung’ang’anizi
Trickster – Erevu
Irony – Kejeli
Tripping – Jikwaa / kosea
University
of hard ‘knock’ – Chuo
kikuu cha maanguko
Meekly – Vumilivu / Sikivu / nyenyekevu
Take
a switch – Tandika bakora
Budge – Jongea / sogea
Shrill
voice – Sauti kali / ukelele
Pondering – Fikiria / tafakari
Glimpse – Kuona kidogo / chungulia mara moja
Unwittingly – Pasipo kukusudia
Glaring – Kazia macho / jicho kali
Blessing
in disguise – Neema
iliyojificha
Imponderable – Dogo sana / isiyopimika
Astounding
statement – Kauli ya
kustaajabisha
To
stake every thing – Kuweka
rehani kila kitu
Indifferent - Kutojali / kutojihusisha
The
sum and substance of - Kiini cha jambo / maana kuu
NaiIkiwa kama bado hujamaliza kusoma awamu hii ya 2,
jitahidi sana usiku huu umalizie kusudi kesho tuweze kuanza awamu (session ) ya
tatu, 3
Soma kilichopita kwenye Usomaji huu
Soma kifuatacho kwenye Usomaji huu
.....................................
HUDUMA ZETU MBALIMBALI ZA MALIPO, (MAFUNZO, VITABU & MICHANGANUO)
1. Kujiunga na programu yetu ya MAKE YOURSELF GREAT AGAIN ndani ya group la VIP
Hii ni programu ya mafunzo na mentorship mwaka mzima yenye course mbalimbali ikiwemo, Kujifunza kuandika business plan kwa undani, usomaji wa think & grow rich kwa kina, kujifunza ubunifu kwenye biashara, masoko na mauzo nje na ndani ya mtandao, siri za biashara ya rejareja pamoja na uwekezaji.
Kujiunga ada ni sh. 20,000/= kwa ajili ya vitabu na michanganuo ya rejea. Wasiliana nasi kwa namba 0765553030 / 0761002126
2. Kuandikiwa Mchanganuo wa Biashara yako
Tunaandika Mpango kamili wa biashara yeyote ile kwa Kampuni na wafanyabiashara binafsi kwa gharama rafiki, njoo tuzungumze kupitia namba za simu au wasap 0765553030 / 0761002125 Michanganuo yetu tunaandaa kulingana na maono ya mteja kama yalivyo pamoja na mazingira ya soko linalomzunguka
3. Kitabu cha MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA
Kitabu hiki kilichowasaidia wajasiriamali wengi wadogo na wale wa kati kinatatua changamoto mbalimballi za biashara za rejareja kubwa ikiwa ni usimamizi wa mapato yasipotee au kudokolewa kiholela na wasaidizi wako, ni uzoefu wa miaka 12 wa mwandishi mwenyewe kwenye hii biashara.
Kukipata Tembelea duka letu la mtandaoni kukinunua hapo kwa kiungo hiki>>MAFANIKIO YA BIASHARA DUKA LA REJAREJA
4. Kitabu cha THINK & GROW RICH –SWAHILI EDITION (FIKIRI & UTAJIRIKE)
Kitabu hiki kilichosomwa duniani na zaidi ya watu milioni 100 tunayo nakala ya Kiswahili kwa bei zifuatazo;
Ukiwa popote pale Duniani unaweza kukipata kwenye mtandao wa GETVALUE kupitia kiungo hicho kibofye kuingia ununue sasa hivi na kukidownload
5. Vitabu zaidi &Michanganuo mbalimbali ya biashara
Kwa vitabu zaidi na Michanganuo mbalimbali ya biashara iliyo tayari tembelea duka letu hili la mtandaoni uweze kuona na kujinunulia kwa urahisi kabisa>>SELF HELP TANZANIA ONLINE BOOSHOP

0 Response to "MANENO MAGUMU (MSAMIATI) NA LAHAJA KWENYE USOMAJI WA THINK & GROW RICH AWAMU YA 2 "
Post a Comment