TABIA 9 ZITAKAZOBADILISHA MAISHA YAKO KIFEDHA

Ikiwa umekuwa ukijiuliza mara kwa mara unaweza kufanya kitu gani ili uweze kuongeza spidi yako ya kuingiza pesa kuliko vile ilivyokuwa sasa, basi leo hii umepata majibu. Tunapozungumzia kuongeza kipato haijalishi una mtaji kidogo kiasi gani kwani ni lazima uanzie mahali fulani, hata mtu mwenye shilingi elfu 5 tu mfukoni anaweza kuanza kuwekeza kwa lengo la kuongeza uwezo wake wa kifedha na kuwekeza hakuanzii tu na kufungua mradi/biashara moja kwa moja bali huanzia na kuweka akiba kidogokidogo. 


Hivyo si lazima uwe millionea kwanza ndipo ujiite mwekezaji, kuna miradi mingi unayoweza hata kuanza kuwekeza kwa buku, buku mbili na kuendelea, tutaona huko mbele taratibu kwenye masomo yetu yajayo.....

SOMA: Wanaofanikiwa maishani wengi husema 'NO' (Hapana) kwa vitu hivi 3

Sawa, hebu sasa moja kwa moja twende kwenye zile tabia 9 nilizosema mtu unaweza kujifunza na ukabadilisha kabisa maisha yako kifedha, ni tabia ambazo mamilionea wengi tokea enzi na enzi wamekuwa wanajijengea katika maisha yao na kitu cha kustaajabisha ni kwamba hamna mtu yeyote anayekaa chini na kuanza kuwafundisha mmoja baada ya mwingine bali imegundulika tu ni tabia wanazoshea bila hata ya wao wenyewe kujua.

 

Sasa ikiwa sisi tunapata bahati ya kujifunza huku kwenye mitandao katika nyakati hizi za digitali basi hatuna budi kuzifanyia kazi ili ziweze kutusaidia kuongeza “kuspeed up” uwezo wetu wa kupata pesa. Hebu zicheki, je unaendana nazo? Ikiwa nyingine ulikuwa huna basi jaribu kuzipalilia halafu uone matokeo yake, niamini utakuja kunitafuta unipe ushuhuda! ;.............


SOMA: Kwanini kundi la kushauriana(Mastermind group) ni muhimu kwa kila anayetafuta mafanikio?

.................................................

Mpenzi msomaji wa blogu yako hii ya jifunze ujasiriamali, somo hili lenye maudhui ya pesa litaendelea leo hii kwenye MASTERMIND GROUP la MICHANGANUO-ONLINE saa 3 usiku. Mwaka huu wa 2021 kutokana na maoni ya wadau wetu wengi kutaka utaratibu huu uendelee basi na sisi hatuna budi kuwasikiliza kwani ni lengo letu kubwa mwaka huu kwamba, MTEJA KWANZA na kisha mbambo mengine ndiyo yaendelee baadae.


Blog yako hii itaendelea kukuwekea makala nzima bure mara kwa mara lakini pia utaona makala nusu kama hii ambazo huwa zina muendelezowake katika Group na Channel yetu ambavyo wanachama hulipia shilingi elfu 10 tu kwa mwaka mzima, gharama ambayo ukilinganisha na kwingineko ni karibu kabisa na bure. Ukijiunga tunakutumia Vitabu na michanganuo bure lakini pia utapata fursa ya kudownload bure katika channel yetu masomo adimu kabisa ya fedha yaliyopita.


Ndani ya group mbali na masomo ya kila siku pia kuna semina za kuandika michanganuo ya biashara zenye fursa kubwa ya kulipa faida haraka pamoja na michanganuo mifupimifupi ya kiubunifu, nadhani ukijiunga utajionea mwenyewe na kufahamu vizuri kile ninachotaka kukuelezea hapa.


Group bado lina nafasi ingawa si nyingi kiasi cha mtu kuendelea kuchelewa kujiunga. Likijaa basi nafasi nyingine ni hadi mwakani tena January kwasababu hatuwezi kuendesha magroup zaidi ya moja kwa ufanisi na kiwango tunachotamani.


Ikiwa unawiwa kujiunga usisite, lipia sasa hivi kiingilio chako sh. elfu 10 kupitia namba zangu hizi hapa. 0765553030 au 0712202244 jina ni Peter Augustino Tarimo na nitakutumia kila kitu pamoja na kukuunganisha na Media zetu zote mbili, group la watsap na channel yake. Karibu sana 2021 hii tuweze kufanya mambo makubwa zaidi kama MASTERMIND GROUP LA KUSHAURIANA

*Masomo yote yaliyopita nyuma unaweza kuyadownload kwenye channel yetu


  

0 Response to "TABIA 9 ZITAKAZOBADILISHA MAISHA YAKO KIFEDHA"

Post a Comment