KATI YA VITU 3, USIMAMIZI SOKO NA UENDESHAJI KIPI NI MUHIMU ZAIDI KATIKA MAFANIKIO YA BIASHARA?


Hili ndio somo letu la leo katika group letu la MICHANGANUO ONLINE, semina zinazoendeshwa kila siku usiku kuanzia saa tatu usiku mpaka saa 4. Unakaribishwa usikose madini haya adimu kwa kiingilio chako cha sh. Elfu 10 tu kwa mwaka mzima huu wa 2018.

Mara unapojiunga tu hivi paap! Tunakurushia zana zifuatazo na ndipo sasa unasubiri darasa lifike;

1.  Kuunganishwa na GROUP pamoja na blogu ya private ya michanganuo.
2.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI katika lugha ya Kiswahili
3.  Masomo ya msingi 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
4.  Templatets(VIELEZO) vya kuandika mpango wa biashara unavyoweza kutumia kwa kufuatisha ukajaza tu taarifa zako na kukamilisha mpango wako haraka na kwa muda mfupi.
5.  Baadhi ya mipango ya biashara isiyokuwa ndani ya kitabu
6.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani cha michanganuo ya biashara “How to write a business plan” ndiyo kinachotumika katika vyuo vingi vikubwa vya biashara duniani.
7.  Somo muhimu la mzunguko wa fedha na jinsi ya kuwa na nidhamu ya hali ya juu kifedha.

Siyo lazima uwe na WHATSAPP ndipo uweze kusoma kozi hizi, unaweza pia kusoma kupitia EMAIL yako masomo tunakutumia kwa email na katika blogu ya private inayoweza kufikiwa na washiriki tu. Watsapp ni njia ya kurahisisha tu kwa wale wasiotaka kufungua fungua email zao au kutembelea blogu kila mara.

Vitu vyote hivi huuzwa kila kimoja peke yake lakini kwa sasa hivi hii ni bei ya offa na itadumu kwa kipindi fulani tu, baadae kila kitu kitarudi katika gharama yake ya kawaida.


KARIBU NJOO TUJIFUNZE PAMOJA KAMA KUNDI!

0 Response to "KATI YA VITU 3, USIMAMIZI SOKO NA UENDESHAJI KIPI NI MUHIMU ZAIDI KATIKA MAFANIKIO YA BIASHARA?"

Post a Comment