SOMO LA SITA( 6): MAELEZO KUHUSU BIDHAA AU HUDUMA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SOMO LA SITA( 6): MAELEZO KUHUSU BIDHAA AU HUDUMA

Katika sehemu ama kipengele hiki cha maelezo yanayohusu bidhaa au huduma au vyote kwa pamoja, hapa ndipo unapotakiwa utoe maelezo ya ndani kabisa yanayohusu kile kitu biashara yako inachouza. Katika maelezo hayo mara nyingi utakuta ni maelezo tu peke yake hakuna jedwali wala chati, ingawa pia unaweza ukaweka jedwali linaloonyesha bei za malighafi au bidhaa unazonunua kwa ajili ya kuuza.

Ndugu msomaji, jiunge na Semina hii ili uweze kusoma masomo yote ya Semina hii kwa ukamilifu kwa njia 3 tofauti, unapata masomo katika njia hizo zote 3. Pata ratiba hapa ya masomo yote 11


 somo la 7 tathmini ya soko






0 Response to "SOMO LA SITA( 6): MAELEZO KUHUSU BIDHAA AU HUDUMA"

Post a Comment