HII NDIYO MELI YA TANZANIA ILIYOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI ITALIA. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HII NDIYO MELI YA TANZANIA ILIYOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI ITALIA.

Meli ya Tanzania iliyokamatwa na dawa za kulevya Italia
Utajiri haramu wa madawa ya kulevya unazidi kuwapa watu ‘uwendawazimu’  kwani  inaonekana sasa kila kona watu wanabuni mikakati ya kuifanya kwa  kukwepa mikono ya dola. Baada ya ripoti kuwa Mkenya anayejihusisha na biashara hiyo hapa Tanzania kwa kivuli cha kuoa nchini, habari iliyoandikwa na gazeti la TanzaniaDaima jana, isome hapa ukipenda,  imeibuka habari nyingine tena kwamba Meli iliyosajiliwa nchini Tanzania nayo imebambwa huko nchini Italia kwa kadhia kama hiyo hiyo.

0 Response to "HII NDIYO MELI YA TANZANIA ILIYOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI ITALIA."

Post a Comment