tag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post7078938117024966076..comments2024-03-10T14:43:39.138+03:00Comments on JIFUNZE UJASIRIAMALI: BIASHARA 1 NZURI INAYOLIPA TANZANIA UNAYOWEZA KUFANYA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA FEDHA 2017Peter Augustinohttp://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-53659735173527392392017-11-02T18:52:42.885+03:002017-11-02T18:52:42.885+03:00Vizuri Bernard, katika umri mdogo kama huo wako ku...Vizuri Bernard, katika umri mdogo kama huo wako kuwa na malengo na maono ya kufika mbali kama hayo bado upo katika mstari mzuri kabisa. Sijajua kama bado upo masomoni au umeshamaliza, lakini ikiwa husomi basi huu ndio wakati wako muafaka wa kuanzisha kitu. Usiweke suala la mtaji mbele kupita kiasi, anzisha kitu kwanza.

Kwa kesi ya kilimo kama tayari unalo shamba anza kulima kidogo ili utakapomfuata mtu au taasisi ya mkopo waamini kweli unahitaji mtaji wa kupanua kilimo ulichokusudia kikutoe

Unaweza pia ukatafuta shughuli ya kukuingizia kipato kidogo kama ajira au kibarua au biashara ndogo, halafu baada ya kupata fedha kiasi fulani ndipo ukaenda kuwekeza katika kilimo. Cha msingi kuwa mvumilivu.Peter Augustinohttps://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-73048140295568671392017-10-19T11:33:34.444+03:002017-10-19T11:33:34.444+03:00Mimi ni kijana wa miaka 19 lakini ninapenda sana n...Mimi ni kijana wa miaka 19 lakini ninapenda sana niwe na maendeleo na pia napenda sana kujihusisha na mambo ya kilimo ila bado sijapata mtaji je nifanye nini kwani napenda sana mafanikio na nachukia umasikini na kuwa tegemezi kwa mtu...Bernad Rojashttps://www.blogger.com/profile/09446156394960095479noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-39162904047837104292017-09-01T14:33:25.441+03:002017-09-01T14:33:25.441+03:00Ndugu Alex, kilimo hasa kile cha kibiashara nyakat...Ndugu Alex, kilimo hasa kile cha kibiashara nyakati kama hizi ambazo mzunguko wa fedha umekuwa mdogo kinaweza kuwa mkombozi kutokana na sababu kwamba binadamu ni vigumu mno kuishi pasipo kupata mlo. Chagua zao lenye soko kubwa na lisiloharibika katika muda mfupi baada ya kuvunwa au kama huharibika upesi mfano matunda bai chagua lile lililokuwa na uhitaji mkubwa kisha hakikisha unatafiti vyema soko lake.
Peter Augustinohttps://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-25726763434218675052017-08-30T14:42:05.783+03:002017-08-30T14:42:05.783+03:00Nataka kuendeleza biashara yangu ya kilimo hasa ka...Nataka kuendeleza biashara yangu ya kilimo hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa kiuchumi.0754397743
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01528951127173161578noreply@blogger.com