tag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post6314162439334127644..comments2024-03-10T14:43:39.138+03:00Comments on JIFUNZE UJASIRIAMALI: NJIA 7 HALALI NA NZURI ZA KUPATA MAFANIKIO & UTAJIRI WA HARAKA Peter Augustinohttp://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-49824923610803411342023-04-01T17:55:46.080+03:002023-04-01T17:55:46.080+03:00Thanks never give upThanks never give upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-31338676333843058192018-03-19T01:03:43.135+03:002018-03-19T01:03:43.135+03:00Vizuri Veronica umesema kweli kwani ujasiriamali u...Vizuri Veronica umesema kweli kwani ujasiriamali unahitaji mtu kuwa king'ang'anizi mpaka unafikia malengo yako. Waliofanikiwa wote wamefanya hivyo na wala hakuna njia ya mkato.Peter Augustinohttps://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-47282033760927308672018-03-19T01:00:27.609+03:002018-03-19T01:00:27.609+03:00Asante sana FrankAsante sana FrankPeter Augustinohttps://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-69033841774467637122018-03-18T23:37:30.036+03:002018-03-18T23:37:30.036+03:00makala haya yananipa kiburi cha kukomaa ktk ujasil...makala haya yananipa kiburi cha kukomaa ktk ujasilamali
Julius masanjahttps://www.blogger.com/profile/11585702105982310326noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-60254381325561174132018-01-09T14:44:15.156+03:002018-01-09T14:44:15.156+03:00ninafurahishwa sana na makala haya ya ujasiriamali...ninafurahishwa sana na makala haya ya ujasiriamali yananitia nguvu na mwamkoFrank Richardhttps://www.blogger.com/profile/06878397268063374798noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-37546847113283597592017-11-12T17:20:14.921+03:002017-11-12T17:20:14.921+03:00Asante sana Mr. Abu Muhammad kwa kusoma hapa, ni k...Asante sana Mr. Abu Muhammad kwa kusoma hapa, ni kweli kabisa shida kubwa inayowakabili watu wengi wanaotaka kujikwamua katika hali ngumu ya maisha ni ukosefu wa kianzio kwa maana ya mtaji hasa wa pesa.

Kiuhalisia hakuna biashara isiyohitaji mtaji japo kinadharia husemekana kwamba unaweza kuanza na mawazo yako tu. Ndiyo kuna walio na bahati ya kuanza na mawazo kisha wakapata sapport mahali pengine na wakainuka lakini kwa waliokuwa wengi utakubaliana nami kwamba wanazeeka na mawazo yao kichwani.

Lakini hata hivyo suluhisho lake lipo japo siyo njia ya mkato, kwa mfano huna pesa kabisa lakini una nguvu zako na afya uliyojaliwa na Mungu basi tafuta angalao kibarua au kazi ya ajira, utafanya kwa muda fulani huku ukijiwekea akiba kwa ajili ya kupata kianzio cha biashara unayoipenda au ikiwa una mali(asset) yeyote ile hata kwa mfano simu yako ya mkononi unaweza ukaiweka rehani mahali au kuiuza pesa zile ukaanzishia mradi wa biashara ndogo.

Katika hatua za awali tukubaliane utapata hali ngumu sana lakini ukiwa na malengo na uvumilivu itafika tu mahali utakuwa na mtaji wa kutosha na hatimaye sasa utaweza kujitanua zaidi kwa kwenda taasisi za fedha wakuongezee mtaji wako.Peter Augustinohttps://www.blogger.com/profile/11327730272453246267noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3840498048873662719.post-70364797371018660942017-11-08T17:02:33.681+03:002017-11-08T17:02:33.681+03:00Naam Nimefurai kupata maelezo yenu ya njia bora za...Naam Nimefurai kupata maelezo yenu ya njia bora za kibiashara itakayo wezesha mtu kujikimu kimaisha nakuweza kutoka katika hali flani ya maisha na kwa nyingine na huu ndo uhalisi wa mambo, ila swali langu ni,..wasiokua ata na uwezo wa pesa taslim zakujifungulia biashara awa nao watatumia njia gani ? abu muhammad feswahttps://www.blogger.com/profile/01963723920957880853noreply@blogger.com