MASOMO YA LEO KATIKA GROUP LA MICHANGANUO ONLINE | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MASOMO YA LEO KATIKA GROUP LA MICHANGANUO ONLINE


Baada ya jana kuanza kuchapisha mfululizo wa sehemu za kitabu cha THINK & GROW RICH katika lugha ya Kiswahili ndani ya group la whatsap, email na blogu ya private ya MICHANGANUO, leo tutaendelea na sehemu ya 2 ya sura ya 9.


Pia sambamba na tafsiri hii tutakuwa na somo letu jingine la MICHANGANUO ambapo leo tutamaliza kuandika HATUA KWA HATUA Mchanganuo wa kuku wa nyama tuliokuwa tukiendelea nao, leo tutaona sehemu ya mwisho ya fedha katika kipengele cha Mtiririko wa fedha taslimu pamoja na Mauzo yatakayorudisha gharama(Break even sales)

Kujiunga na GROUP hili kiingilio ni shilingi 10,000/= ambapo unapata masomo, vitabu na semina mbalimbali zilizopita pamoja na fursa ya kuendelea kupata masomo mengine yote yajayo kupitia whatsapp, email au katika blogu yetu ya private kwa wanachama tu.

Namba za kulipia ni 0712202244 au  0765553030 jina Peter Augustino Tarimo
Kisha tuma ujumbe kutujulisha.
ASANTE.

1 Response to "MASOMO YA LEO KATIKA GROUP LA MICHANGANUO ONLINE"