SOMO LA LEO HATUA KWA HATUA MPANGO WA BIASHARA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI-sehemu ya 4 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SOMO LA LEO HATUA KWA HATUA MPANGO WA BIASHARA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI-sehemu ya 4


kuku wa mayai ya kienyeji: mchanganuo wa gharama na faida
Leo katika somo letu la MICHANGANUO ilikuwa tuchambue Kipengele cha Soko lakini tutaongeza na vipengele vingine vidogovidogo 5 vinavyoanza baada ya Muhtasari tendaji au wakati mwingine kwenye maelezo ya biashara. 

Tutaanza na vipengele hivyo 5 ambavyo ni;
DHAMIRA KUU, MAONO, KAULIMBIU, MALENGO NA SIRI ZA MAFANIKIO. Vitu hivi vitano ni vya msingi sana katika kuielezea biashara yeyote ile. Kimpangilio unaweza kuviweka mahali popote pale lakini mara nyingi hukaa chini ya Muhtasari Tendaji au kwenye Maelezo ya Biashara. Mimi katika mchanganuo huu wa Mayai Asili nimeviweka chini ya Muhtasari.

Mfululizo wa masomo haya na mengine yanayohusu mzunguko wa fedha katika biashara zetu, yanapatikana kila siku ndani ya kundi la WHATSAPP, EMAIL NA BLOGU MAALUMU ya washiriki tu wa semina hizi. Ada ni shilingi elfu 10, kwa mwaka mzima na hata baada ya mwaka kuisha hutakiwi kulipa tena chochote. Unapata na offa ya vitabu na 'materials' nyinginezo mbalimbali kama Templates, masomo yote yaliyopita pamoja na fursa nyinginezo nyingi za kimasoko kama kujitangaza nk.

Ili kujiunga tuma ujumbe kwa watsapp kwenda namba, 0765553030 au meseji ya kawaida kwenda namba 0712202244 unaosema "NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE" kisha ulipie kiingilio kupitia namba zizo kwa jina Peter Augustino Tarimo, utaunganishwa muda huohuo pamoja na kutumiwa kila kitu.

Kwa mahitaji ya vitabu vyetu mbalimbali vya biashara na ujasiriamali katika lugha ya kiswahili usiache kutembelea; SMART BOOKS TANZANIA



0 Response to "SOMO LA LEO HATUA KWA HATUA MPANGO WA BIASHARA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI-sehemu ya 4"

Post a Comment